Mesu Maujanja
New Member
- Jun 15, 2022
- 1
- 1
Mi na tatizo la kujitafuna nyama za mdomoni na pembeni ya lips. Msaada jamani maana kitu hiki sikipendi na sijui nifanye nini
Tafuna big G au bazoka.Mi na tatizo la kujitafuna nyama za mdomoni na pembeni ya lips. Msaada jamani maana kitu hiki sikipendi na sijui nifanye nini
Kula machungwa,ukosefu wa vitamin C huo.Mi na tatizo la kujitafuna nyama za mdomoni na pembeni ya lips. Msaada jamani maana kitu hiki sikipendi na sijui nifanye nini