Uti inasababisha MTU kusinzia hovyo?Ni mvulana kama mvulana muulize ana piga punyeto mara kwa mara je ashawai check UTI ?
Wakuu,
Nina ndugu yangu ambaye anasumbuliwa na tatizo la kusinzia kila wakati. Iwe asubuhi, mchana au usiku, anasinzia sana na tatizo limedumu kwa muda mrefu sasa.
Naomba kujua dawa ya huu ugonjwa ili tatizo hili liishe.