CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,461
Nilisahau ngoja nimuulizeMkuu mrejesho tafadhari.
Nilisahau ngoja nimuulizeMkuu mrejesho tafadhari.
Anasema aliandikiwa dose ya Dolo-neurobion na asprini au neurobion forte na asprini ndo anachokumbuka, pia jioni atacheki kama kile kibox cha hiyo Dawa kama alikihifadhi.Mkuu mrejesho tafadhari.
Shukuran mkuuAnasema aliandikiwa dose ya Dolo-neurobion na asprini.au neurobion forte na asprini ndo anachokumbuka,pia jion atacheki kama kile kibox cha hiyo Dawa kama alikihifadhi.
Ulifanikiwa hiyo dawa mkuu , mrejesho pleaseShukuran mkuu