mzunguko wa kawaida mkuu..siku 28...ndio alishawahi kutoa mimba miaka mitano iliyopita,hana dalili y mimba na hana mimba,hata.uvimbee hana.sababu amepigwa utra sound hawajaona uvimbe.Kabla ya hapo mzunguko wake ulikua vipi? Ashawahi kutoa mimba? Anatumia vidonge vya uzazi? Ana dalili za mimba? Inawezekana uvimbe kwenye kizazi au mimba imetunga nje ya kizazi...
Sent using Jamii Forums mobile app
hatumii vidonge wa uzazii.Kabla ya hapo mzunguko wake ulikua vipi? Ashawahi kutoa mimba? Anatumia vidonge vya uzazi? Ana dalili za mimba? Inawezekana uvimbe kwenye kizazi au mimba imetunga nje ya kizazi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amefanya vipimo vya hormone viko poa na utrasound iko vizuri basi hapo dawa yake ni kumeza COC (combined oral contraceptives ) hadi pale zitakapo kaa flesh. Na kama anatumia vidonge vya uzazi wa mpango muulize uviweke hapa ..wakuu heshima kwenu.
Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi tena,kapiga Utra sound kizazi hakina shida,kapima hormones kaambiawa zipo sawa...
Kuna mtu kasema inaweza kuwa kansa ya kizazi so lazima atolewe kizazi,je kuna ukweli hapo? naombeni ushaurii..
hatumii vidonge vya.uzazi mkuu...hatumii coz amekuwa anatafuta mtoto kwa.mda.mrefu.bila.mafanikio..japo yeye na bro wanawatoto wawili wakubwa.Kama amefanya vipimo vya hormone viko poa na utrasound iko vizuri basi hapo dawa yake ni kumeza COC (combined oral contraceptives ) hadi pale zitakapo kaa flesh. Na kama anatumia vidonge vya uzazi wa mpango muulize uviweke hapa ..
Sent using Jamii Forums mobile app