Tatizo la kupata hedhi mda mrefu bila kukoma

Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
2,000
wakuu heshima kwenu.
Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi tena,kapiga Utra sound kizazi hakina shida,kapima hormones kaambiawa zipo sawa...
Kuna mtu kasema inaweza kuwa kansa ya kizazi so lazima atolewe kizazi,je kuna ukweli hapo? naombeni ushaurii..
 
Attachments

  • 15515524049610.42325546867681496.jpg
    File size
    404.4 KB
    Views
    44

Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
2,000
nimeambatanisha majibu ya homoni kutoka hospital wakuu...msaada wa mawazo
 
Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
2,000
Kabla ya hapo mzunguko wake ulikua vipi? Ashawahi kutoa mimba? Anatumia vidonge vya uzazi? Ana dalili za mimba? Inawezekana uvimbe kwenye kizazi au mimba imetunga nje ya kizazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
mzunguko wa kawaida mkuu..siku 28...ndio alishawahi kutoa mimba miaka mitano iliyopita,hana dalili y mimba na hana mimba,hata.uvimbee hana.sababu amepigwa utra sound hawajaona uvimbe.
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,556
2,000
itakuwa ni madhara ya vidonge vya uzazi (waswahili wanasema vimemkataa)

Namfahamu mdada 1 nae ana tatizo hilo siku 3 free nyingine inakuwa mtihani. kifupi hazieleweki siku zake
 
carcinoma

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
4,877
2,000
wakuu heshima kwenu.
Nini husababisha mwananke kupata hedhi mda mrefu bila kukata...shemeji yangu ana mwezi wa tatu sasa anatatizo hilo..anatumia dawa za homoni inakata dawa zikiisha tu inarudi tena,kapiga Utra sound kizazi hakina shida,kapima hormones kaambiawa zipo sawa...
Kuna mtu kasema inaweza kuwa kansa ya kizazi so lazima atolewe kizazi,je kuna ukweli hapo? naombeni ushaurii..
Kama amefanya vipimo vya hormone viko poa na utrasound iko vizuri basi hapo dawa yake ni kumeza COC (combined oral contraceptives ) hadi pale zitakapo kaa flesh. Na kama anatumia vidonge vya uzazi wa mpango muulize uviweke hapa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
2,000
itakuwa ni madhara ya vidonge vya uzazi (waswahili wanasema vimemkataa)

Namfahamu mdada 1 nae ana tatizo hilo siku 3 free nyingine inakuwa mtihani. kifupi hazieleweki siku zake
hatumii vidonge vya.uzazi.mkuu...
 
Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
2,000
Kama amefanya vipimo vya hormone viko poa na utrasound iko vizuri basi hapo dawa yake ni kumeza COC (combined oral contraceptives ) hadi pale zitakapo kaa flesh. Na kama anatumia vidonge vya uzazi wa mpango muulize uviweke hapa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
hatumii vidonge vya.uzazi mkuu...hatumii coz amekuwa anatafuta mtoto kwa.mda.mrefu.bila.mafanikio..japo yeye na bro wanawatoto wawili wakubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom