T taupe Member Joined Apr 9, 2011 Posts 5 Reaction score 0 May 2, 2011 #1 ninikusababisha mume kukojowa haraka? Nanini afanye ili asikojowe haraka
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,675 Reaction score 37,854 May 2, 2011 #2 Nenda jukwaa la ............utapata mengi tu omba kibali anza kule kudogo kwanza utajua sababu we kila ukifungua unafikiria jf doctor unamisi mengi kama umeoa ndio kabisa ndoa yako inakuwa mpya ukiacha dadangu anatafuta mchumba
Nenda jukwaa la ............utapata mengi tu omba kibali anza kule kudogo kwanza utajua sababu we kila ukifungua unafikiria jf doctor unamisi mengi kama umeoa ndio kabisa ndoa yako inakuwa mpya ukiacha dadangu anatafuta mchumba
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,904 Reaction score 7,103 May 2, 2011 #3 Mwambie avae condom.