tutaishi milele
Member
- Dec 26, 2015
- 76
- 63
Hapana mkuu situmii kabisaUnatumia feni au AC ukiwa unalala?
Ulipata tiba mkuu? Maana mimi pia napata hiyo haliHabari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo hili huanza hunitokea pale tu ninapotaka kulala lakini nikifanikiwa kupata usingizi huwa sikohoi tena mpaka kesho yake.
Kikohozi hiki kuwa kinaambatana na makohozi machache ambayo nikiyatema ndo huwa napata nafuu. Mwanzo nilidhani ni nyumba nayoishi kuwa na vumbi lakini nmejitahidi sana kuisafisha ila hali bado inaendelea. Pia kwa mchana kuna muda kila nikicheka huwa kama napaliwa na kupata kikohozi naomba msaada wa ushauri wenu wakuu.
Bado aiseUlipata tiba mkuu? Maana mimi pia napata hiyo hali
Tangu mwaka 2022 mpaka sasa unasumbuliwa? Umejaribu kwenda hospital kubwa?Bado aise
Kaka Umewahi kupima Presha?Habari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo hili huanza hunitokea pale tu ninapotaka kulala lakini nikifanikiwa kupata usingizi huwa sikohoi tena mpaka kesho yake.
Kikohozi hiki kuwa kinaambatana na makohozi machache ambayo nikiyatema ndo huwa napata nafuu. Mwanzo nilidhani ni nyumba nayoishi kuwa na vumbi lakini nmejitahidi sana kuisafisha ila hali bado inaendelea. Pia kwa mchana kuna muda kila nikicheka huwa kama napaliwa na kupata kikohozi naomba msaada wa ushauri wenu wakuu.
Hiyo ishakuwa sehemu ya maisha yangu nakunywa sana hivyo vitu lakini wapiSsa hiv kila mtu anakohoa.chkua asal na vitunguuu swaum ponda changanya kula kijiko kimoja kimoja
mkuu upo?Hiyo ishakuwa sehemu ya maisha yangu nakunywa sana hivyo vitu lakini wapi
Kumbe ni tatizo la watu wengi maana wewe nj mtu wa nne ,hata mimi niko hivo hivo huu ni mwezi wa tano sasa. Sijui tatizo ni nin?
Nipo aise, nilifanya vipimo upya nikagundulika nina acid refluxmkuu upo?
Yaan mm makohozi yananikaba usiku tu ila nkiamka mchana wote nakua fiti ani
Umepewa Tiba Baada Ya KugundulikaNipo aise, nilifanya vipimo upya nikagundulika nina acid reflux
Ndio nilipewa dawa lakini pia nikashauliwa kubadili mtindo wa maisha. kwa upande wa dawa nilishindwa kuvumilia ni za miezi sita kwa mtindo wa maisha nimejutahid kidogo nilikuwa vizur mwanzoni ila kwa sasa kama hali imeanza kurudiPole Sana
Sasa
Umepewa Tiba Baada Ya Kugundulika
Jioni punguza kula halafu kunywa dawa za minyooHabari wakuu naomba kutanguliza shukrani kwa wote watakao changia uzi huu na kutoa msaada. Nina changamoto ya kukohoa wakati wa usiku ninapoanza kulala tatizo hili lilianza mwaka jana kama mwezi wa 11 hivi lakini lilikuwa linanitokea kwa baadhi ya siku ila kwa sasa linatokea kila siku. Tatizo hili huanza hunitokea pale tu ninapotaka kulala lakini nikifanikiwa kupata usingizi huwa sikohoi tena mpaka kesho yake.