Tatizo la kujing'ata ulimi ukiwa usingizini na dawa yake

Tatizo la kujing'ata ulimi ukiwa usingizini na dawa yake

Nyanda lunduma

Senior Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
187
Reaction score
68
Habari ndg zangu.
Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo.
Naombeni msaada wenu
 
Habari ndg zangu.
Kama maada ilivyo hapo juu nina tatizo la kujing'ata ulimi usiku nikiwa nimelala je tatizo huwa nini na njia gani nitumie ili niondokane na hili Tatizo.
Naombeni msaada wenu
Chukua masizo. Ya sufuria ulilopikia kwa kuni paka, ilo kila siku kwa one week utakuja kunishukuru
 
Back
Top Bottom