Tatizo la kujaa gesi(acid) kooni

Tatizo la kujaa gesi(acid) kooni

kasagama

Member
Joined
Nov 6, 2016
Posts
21
Reaction score
31
Habarin wanajamii mm nasumbuliwa na kitu kama acid kooni unakuwa unahisi kama kitu kimekukwama
Nishaenda hospitalin kama mara 6 wanashia kunipa dawa tu, kuna muda walishauri nipime madonda ya tumbo wakasema ninayo nikatumia dawa za hospitalin na asali nikaenda kupima nikaambiwa sina japo tatizo la kooni bado linanisumbua mwenye experience anisadie
 
Pole kwa kuumwa,

Bado unahitajika kusikilzwa na wataalamu wa afya na kuja na majibu sahihi.

Hii inaweza kuhusisha:
-historia nzima ya tatizo (muda)
-wakati gani hali huonekana kuwa zaidi
-upataji wako wa chakula/timing
-matumizi ya vyakula vyenye kuleta uwasho kama pilipili/mbilimbi, kahawa & tangawizi nk.
-dalili nyingine/mwambato kama kifua kubana, moyo kwenda mbio, kikohozi, kupotea au sauti kutokuwa sawa na uchungu mdomoni hada asubuhi.
-uwepo wa stress.
Pia ukaguzi wa mwili/physical examination.
-pia unaweza kuhitaji kufanya vipimo kulingana na mtizamo na mjumuisho hapo juu.

Kama kuna uwezekano waone wataalamu hawa:
1: Gastroenterologist/daktari bingwa wa njia ya chakula
2: ENT/Daktari bingwa wa Masikio/Pua na Koo.

Matibabu mema.
 
Habarin wanajamii mm nasumbuliwa na kitu kama acid kooni unakuwa unahisi kama kitu kimekukwama
Nishaenda hospitalin kama mara 6 wanashia kunipa dawa tu, kuna muda walishauri nipime madonda ya tumbo wakasema ninayo nikatumia dawa za hospitalin na asali nikaenda kupima nikaambiwa sina japo tatizo la kooni bado linanisumbua mwenye experience anisadie
Hiyo ni refluxing. Yaani chakula kinakuwa kama kinarudi unakuwa kama unataka kucheuwa hivi. At the same time koo unapata heart burn.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom