Tatizo la kuingiza chaji kwenye sony xperia, naomba msaada

Tatizo la kuingiza chaji kwenye sony xperia, naomba msaada

Brown ad

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
345
Reaction score
205
Jaman nisaidieni toka jana simu yangu i Imeanza kuwa na tatizo la nikiweka charge haingii ikiwa inaonesha kuwa inaingia simu yangu ni sony xperia m
 
Nami nina tatizo kama hilo hilo japo simu yangu ni model nyingine jibu litatusaidia wengi
 
Back
Top Bottom