Tatizo la kubanja au kutoa kikoozin ghafla

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Jamaani ndugu zangu nimejaribu kutumia dawa mbalimbali kama amoxilakini haijanisaidia,nasumbuliwa na kubanja kwani hata kucheka mbele za watu siwezi kwani nikicheka tu kidogo ninabanja hadi aibu nisaidieni jamani huu ni mwaka wa plil sasa wa hili tatizo
 
Kapime kwanza Xray ya kifua na makohozi watajua tatizo na utatibiwa bila shaka
 
Back
Top Bottom