Tatizo la ku-install Applications kwenye mini pad p9

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
285
Natumia mini pad p9 inaonesha ina 12gb jumla na zimetumika kama 700 mb ambazo nimeweka baadhi ya apps lakini nikitaka kudownload apps nyingine zinakaaa kuingia simu inaandika insufficient space. kuhusu upande wa external sdcard sijaweka.naweza kurekebisha vip hili tatizo.
 
mbona mtandaoni wanasema ina 8GB storage na 1GB RAM

How comes unapata hiyo error?

jaribu ku kill running process afu ndo ujaribu ku install upya
 
Back
Top Bottom