Abduly Mfaume
Member
- Jan 19, 2018
- 7
- 3
Naomba msaada wa JF nina king'amuzi cha Startimes nilitaka fanya malipo nikakizima na kuchomoa kadi, Nimelipia na kurudisha kadi na kuwasha kinaandika "Loading" alafu bango la Tangazo lao kisha hakifanyi chochote hata ukibonyeza remote akikubali kudisplay chochote.
MWENYE KUJUA NAOMBA USHAURI, KIMEKUFA AMA LAAA ?
MWENYE KUJUA NAOMBA USHAURI, KIMEKUFA AMA LAAA ?