L Lutifya JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,021 Reaction score 5,069 Oct 24, 2018 #1 Wakuu kuna tatizo gani kwenye King'amuzi cha Azam??. Ukitaka kununua credit inaonekana hakuna Network na ukiwapigia simu hawapokei. What is wrong???
Wakuu kuna tatizo gani kwenye King'amuzi cha Azam??. Ukitaka kununua credit inaonekana hakuna Network na ukiwapigia simu hawapokei. What is wrong???
greybakuza JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 897 Reaction score 1,277 Oct 24, 2018 #2 Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama.
Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama.
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,921 Reaction score 4,216 Oct 24, 2018 #3 Kimwagie Azam juice naisi kina njaa tu icho...[emoji41]
L Lutifya JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,021 Reaction score 5,069 Oct 24, 2018 Thread starter #4 greybakuza said: Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama. Click to expand... Mkuu nadhani kuna tatizo dhahiri ambalo wanapaswa kutujulisha wateja wao. Otherwise ni uhuni at its best....
greybakuza said: Hawa jamaa (Azam) siku zao zinahesabika (Wako ukingoni) Fitina za awamu hii hazitamuacha tajiri yeyote salama. Click to expand... Mkuu nadhani kuna tatizo dhahiri ambalo wanapaswa kutujulisha wateja wao. Otherwise ni uhuni at its best....
L Lutifya JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 3,021 Reaction score 5,069 Oct 24, 2018 Thread starter #5 bright platnumz said: Kimwagie Azam juice naisi kina njaa tu icho...[emoji41] Click to expand... Asante kwa ushauri mujarabu/maridhawa ngoja nikimwagie castle rite bariiiiiidi
bright platnumz said: Kimwagie Azam juice naisi kina njaa tu icho...[emoji41] Click to expand... Asante kwa ushauri mujarabu/maridhawa ngoja nikimwagie castle rite bariiiiiidi