Wakuu salaam!
Ninashida ya kushindwa kupiga simu kwenye iphone 4s! Nimejaribu ku upgrade imegoma! Nimeweka version hii ya 8.1.3 ambayo ni latest!
Naweza kupokea, kutuma msg, internet n.k ila kupiga tu ndo siwez tena nimejaribu mitandao yote!
Mtandao unaonekana vizuri kabisa kwa kila mtandao shida kupiga tu!
Asante!