godfrey_avya
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 131
- 24
Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
iphone sio Android mkuu.ukifanya ivo ni screenshot aiseJaribu yafuatayo
Chomeka kwenye chaji na iache muda wa kutosha
Bonyeza power na home batani kwa wakati mmoja kwa muda uone itabrespond vipi?
Je ukiichomeka kwenye pc itune inaitambua?
Kama inaitambua then fanya restore ila utapoteza kila kitu
Wakuu nina iphone 4 wadogo zangu walichezea sasa kuwaka haiwaki ila ukichomeka charger inaonesha apple logo bila kuwaka tatizo lake nini? msaada wakuu...
iphone sio Android mkuu.ukifanya ivo ni screenshot aise