Tatizo la internet kwa Huawei Y330

dwoxye

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
679
Reaction score
353
Wakuu habari,
...nina cmu yangu tajwa hapo juu ila ina tatizo la internet, kwamba inaconnect vzur 3G kabisa ila nkianza kutumia tu inanambia 'no internet connection', hata nkiconnect wi-fi (hotspot) inaconnect ila nkianza kutumia tatizo linarud palepale 'no internet connection'.
Coz ina warranty bso nliirudisha wakanambia wametengeneza nlipoanza kutumia, after 1day ikarudi kube tatizo lile lile.
Nisaidie wakuu nifanye nini coz kuwa na smartphone bila internet n bora uwe na kitochi kabisa!
Karibu...
 
Maana ya warranty ni nini rudisha upewe nyingine sio kutengeneza

Warranty ni kutengeneza katika muda mliokubaliana kama ni mwaka au zaidi na tatizo ni lazima liwe la kiufundi isiwe simu imedumbukia kwenye maji unataka itengenezwe. Ikishindikana kutengenezwa ndio unapewa mpya.
 
Asanteni wakuu kwa mchango wenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…