Tatizo la internet baada ya ku-flush Vodafone vf865, naomba msaada

gaspar kauki

JF-Expert Member
May 17, 2014
579
250
Niliflash simu yangu ya Vodafone vf865 ili niwe natumia laini zote,nilifanikiwa lakini internet haifanyi kazi nikiweka laini ya tigo au Airtel ila nikiweka voda speed haipimiki tatizo ni nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom