Habari zenu waungwana ninatatizo na simu yangu aina ya galaxy s3. Tatizo lipo katika maswala ya intanet enabling kuna kipindi simu inagoma kujiunga na intaneti na hata kitufe cha mobile data kinakuwa kimeback off japo kuwa nimekiweka on.
Simu inatumia android 4.1.2 naomba msaada wenu kwenye hili.[/QUOTE
Jaribu Customized Roms ila ki ukweli S3 zna faulty ya network.. Hiii hata wao wanafahamu.
Jaribu Customized Roms ila ki ukweli S3 zna faulty ya network.. Hiii hata wao wanafahamu.
Naomba Msaada juu ya ili tatizo lasimu yangu samsung s3 i9300 not registered on network wa kuu
Mrejesho hayo yote nimefanya mkuu inafanya kazi sawa lakini kuna mda bado inakuwa inagoma kufungua internet.