Hiyo simu inafanya kazi za kawaida yaani kupiga/kupokea na sms lakini shughuli zinazohusu internet hakuna uwezekano.Naomba kupata solution ya hili tarizo. Nimenunua kwa mtu ila ni mpya haijawahi kutumika internet.
ulichoandika kwenye heading na content ya thread haviendani, invalid IMEI kwa sababu ipi??
Internet kuna probability hujaset APN settings, em nenda settings, tatufa network settings afu utafute sehemu imeandikwa Acess Point Name (APN), fungua afu angalia kama kuna settings humo ndani, kama hamna tengeneza new settings, apn andika neno internet, vingine vyote usijaze, weka ok funga afu jaribu uone kama itapiga mzigo
Umeandika vitu. havielewek IMEI ingekua invalid hata simu usingeweza kupiga wala kupgiwa..yan kusingekua na acces ya mtandao.
Hpo itakua ni ww na APN zako.
Ni kweli nilichoandika mimi mwenyewe nashangaa. Nimeweka APN inashika internet lakini ndio hiyo ya konokono maana sioni dalili za 3G. Haionyeshi jina la mtandao ila signal ipo na ukipiga *#06# inakuandikia "invalid imei"maandishi mazito juu na yaliyofifia chini yake. Mahali pa jina la mtandao inaandika tu "invalid imei" kwenye home screen. Huo ndio utata labda mambo ya Tecno hayo sijui.
Nashikuru okey
Tafadhali kcamp nimedownload nasubiri maelekezo.
ifungue hyo app then ingia mtk settings
then nenda option ya
gprs hapo kwenye kibox itabidi uattach
ama weka imei mpya
ile ambayo imeandikwa nyuma ya simu.ukimalza click attach then wait kdogo simu ita reboot then kazi imekwisha..
Ikigoma itabid uwe na root acces nadhani.kabla ya kuanza kazi.
mkuu kcamp embu toa darasa kabisa kuhusu hii app
Hii ni app inayo kuwezesha ku acces a secret menu kweny simu za mtk.
hyo menyu ina mambo meng tu moja wapo ndo unaweza kuandika IMEI upya in case utakua umepoteza IMEI kweny simu yako.Hii menu inaitwa Engineering Mode .