Tatizo la hii simu ni mini?

Ninatumia Huawei ,toa memory card kisha rudisha na itauliza km una change ,ipe ok.
 
Hapo kutumia app nyingine ya camera nitafanya hivyo lakini mtaalamu kwenye file manager sijawahi kufanikiwa kuhamisha ht picha tena simu yenyewe picha hazizidi ht 20....nadelete kila siku hadi naamua mutopiga/download picha
mkuu angalia hapa
How to Move Pictures from Android to SD Card

kama bado huelewi nenda playstore kuna app inaitwa send to sd card kila picha na video click share then chagua hio app itahamishia kwenye sd card
 

Nimejaribu na app hii ya "move to SD card"
 
Sawa fundi
Sasa nimethibitisha/gundua hii simu majanga tu
hilo sio tatizo la simu, hizo njia nilizokupa ni rahisi kama zinashindikana ingia hio link niliokupa hapo juu fuata maelekezo hamisha mwenyewe manual.
 
hilo sio tatizo la simu, hizo njia nilizokupa ni rahisi kama zinashindikana ingia hio link niliokupa hapo juu fuata maelekezo hamisha mwenyewe manual.
Poa nitajaribu na kuleta mrejesho
 
Kaka hapo tatzo sio simu ni memory card hiyo ndio kimeo,si umeona hata details zake nying ni unknown mfano hapo MANUFACTURER inakuambia unknown origin mfano yangu manufacturer inaandika Toshiba na hzo data nyingine zote huwa znakuwa zmejazwa yako haijajazwa.Kuwa makin sana memory card nying za 16GB huwa n fake nmekutana nazo na huwa znasumbua sana,Next time ukienda kununua memory card iweke kwenye simu then download "sd insight" itakupa details za hyo memory card na ikikuletea tu unknown ujue hyo fake.
 
Ahsante kwa ushauri....sikuwahi kujua hiyo app kabla
Siku nyingine n itakuwa makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…