Nenda kwenye setting za camera badilisha option ya storage kwenda kwenye external storage
Km screenshot zinavyoonesha
Hii simu inazingua suala la camera/picha/photos kila siku INSUFFICIENT SPACE wakati kuna memory card kubwa na cha ajabu inasave kwenye simu tu yaani SD vitu haviingii na nikiweka mpya zinaweza kuingia km 10 tu zen tatizo linaanza km kawa
Nimejaribu kudefault storage location lakini haileti mafanikio
Simu ni Huawei
tumia app nyengine ya camera, kama snap cameraNilishajaribu hiyo lakini haileti mafanikio ndo kwanza ikagoma screenshots
Sasa lakini vipi kuhusu storage kutokubali memory card?+yaani inategemea internal stirage ) tu hata nifanye setting au default au kubadili SD cardtumia app nyengine ya camera, kama snap camera
kikawaida insufficient storage hutokea free storage ikiwa asilimia 10, hivyo kwa simu ya 4gb usiiache free storage ifike mb 400 hakikisha ina mb500 kupanda
Zingatia sana internal.Sasa lakini vipi kuhusu storage kutokubali memory card?+yaani inategemea internal stirage ) tu hata nifanye setting au default au kubadili SD card
mkuu storage ya simu ni kama mara 100 zaidi kwenye speed kulinganisha na memory card za mtaani linapokuja suala la random read/write hivyo ndio maana watengeneza simu hawataki uweke application kwenye memory card. memory card itumie kwenye mambo ya picha, video, sauti nkSasa lakini vipi kuhusu storage kutokubali memory card?+yaani inategemea internal stirage ) tu hata nifanye setting au default au kubadili SD card
Umefafanua vizuri ...tatizo hata picha tu hazikubali/haziingii kwenye SD card ndio tatizo kuumkuu storage ya simu ni kama mara 100 zaidi kwenye speed kulinganisha na memory card za mtaani linapokuja suala la random read/write hivyo ndio maana watengeneza simu hawataki uweke application kwenye memory card. memory card itumie kwenye mambo ya picha, video, sauti nk
Hakuna kilichowahi kukubali/kufanikiwa kuhamia kwenye SD cardZingatia sana internal.
Maana simu hutumia sana internal ku fanya mambo yake. Hiyo ext ni storage tuu.
Hizo mb400 ni chache we zingatia ziwe juu ya 500.
Kama una apps nyingi hamishia kwenye sd
ndio nimekwambia download app nyengine ya camera au kama picha zipo ndani ya simu unataka kuzihamisha tumia file managerUmefafanua vizuri ...tatizo hata picha tu hazikubali/haziingii kwenye SD card ndio tatizo kuu
Ha ha basi pole yako mkuuNilishajaribu hiyo lakini haileti mafanikio ndo kwanza ikagoma screenshots
Hapo kutumia app nyingine ya camera nitafanya hivyo lakini mtaalamu kwenye file manager sijawahi kufanikiwa kuhamisha ht picha tena simu yenyewe picha hazizidi ht 20....nadelete kila siku hadi naamua mutopiga/download pichandio nimekwambia download app nyengine ya camera au kama picha zipo ndani ya simu unataka kuzihamisha tumia file manager
Nakumbuka zamani nilikuwa na simu iaiyo na jina kubwa lkn haikuwa inasumbua maana niliweza kuweka hadi picha 2000+ bila kufuta na memory card ya 4GB....Ila hili liHuawei majangatu SD card 8 GB lkn ht picha 50 tu shidaRam inatakiwa kuwa 2 GB ndo utaenjoi