Tatizo la Hedhi

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,558
1,968
Hivi wana jf wenzangu hasa wale wenye uzefu yan madoc na hata waliokumbana na hili, inakuwaje mwanmke unakaa miaka kama mitatu hivi kila mwezi unapata siku zako kama vitone tu hata unawweza usiweke pad then basi mpaka mwezi unaofata.
Ukienda hosptl unapimwa huna tatizo lolote ila hali inaendelea vilevile kila mwezi. hii inatokana na nini au ni uzazi wa mpango uliokuwa unatumia before matatizo kuanza?
Ushauri tafadhali
 
Inabidi ukienda hospitali umweleze vizuri doctor kama toka mwanzo ulivyoanza hedhi ilikuwa inatokea au imetokea baada ya kufanya kitu au kutumia dawa fulani, uwe wazi tu kwa doctor ndug yangu nadhani unapata ushauri au dawa yake.
 
Ahsanteni sichoki kusubiri najua watakuja tu kunishauri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom