interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,396
Carlos the Jackal, asante sana kwa taarifa njema, Mungu ni mwema sana ndiyomaana huwa nawasisitizia sana Watu kuwa tiba za magojwa yote zipo katika vyakula vitokanavyo na mimea ya asili, tatizo Binadamu wa kizazi chetu hiki ni Wabishi sana.Huhuhu nitakua nakuvutia na wa upande wa pili
Infact Mitishamba ni dawa
HahahaKwa wagonjwa wa kisukari wanaume, mkwaju utawasaidia sana kuinua Mkambi
PoaShukrani mkuu.
Share tu mkuu, sio.lazima ikusaidie wewe !!Natamani. ila sioni proof so nafikiri ni5aacha inipite.
Nidanganye nn sasa??? Hayo yote ya vyakula wanayajua.Endeleeni kudanganyana, badala ya kubadilisha mlo na kula balanced diet unasema wale ukwaju? hehehe
Wapunguze kula carbohydrates nyingi maana wabongo wengi ni wali mwingi kuliko mboga, au ugali mwingi kuliko mboga, all the carbs wanashusha tu bila mazoezi, hata wanywe juice ya ukwaju litre mia per day watabaki palepale tu. Tanzania ni moja ya nchi zenye diet mbaya sana na watu wengi mazoezi ni zero, toka lini umeona mbongo anaenda gym constantly?
Nidanganye nn sasa??? Hayo yote ya vyakula wanayajua.
Kisukari hata Mawazo tu kwao nishida !!! Sio mpaka vyakula.
Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
Hayo yote nayajua, kwaufupi nmekutana na wagonjwa wenye typ 1 au 2 ila wengi nlokutana nao ni 2 .. Nakupitia hii kitu tumefanikiwa ku-control na sijapata case yoyote hatarishi.Unavyosema kula ukwaju huna scientific proof yoyote ile unaweza jikuta unaharibu watu.
Sasa ngoja nikupe sayansi ya ukwaju ili uelewe, na kumbuka kinachofanya kazi kwako si lazima kifanye kwa mwingine sababu watu miili yetu inatofautiana. Ukwaju unaweza punguza sukari iliyopo mwilini, kumbuka kuna diabetes tofauti, upungufu wa sukari na kua na excess. Unavyotumia vitu havijapimwa unawaambia watu watengeneze juice ya ukwaju lita kadhaa wanywe daily unawahiribia diet, wanaweza wakashuka wakapitiliza wakaanguka wakafa, haya mafunzo yenu mnayotoa bila kufanya research yoyote kaeni nayo wenyewe msije kutuulia watu bure.
Ukiwa mganga wa kienyeji kitoweo cha kuku na mbuzi hakikosekani kwako siku zote, nazi na mayai ndio usiseme tena🤣🤣🤣Tuwe tuu waganga wa jadi😂😂
Na hivyo ndio visusio vikuu vya waganga wa jadi😂😂😂Ukiwa mganga wa kienyeji kitoweo cha kuku na mbuzi hakikosekani kwako siku zote, nazi na mayai ndio usiseme tena🤣🤣🤣
Hapo wewe ni kununua mchele, ndizi za kupika au unga wa ugali tu🤣🤣Na hivyo ndio visusio vikuu vya waganga wa jadi😂😂😂
🤣🤣🤣tunaagizaga samaki,.lakini awe "king fish" tuuHapo wewe ni kununua mchele, ndizi za kupika au unga wa ugali tu🤣🤣
Au kuku na mbuzi wakikuchosha unanunua samaki mwenyewe maana si unajua tena mganga haagizi samaki🤣🤣🤣
Hahahaa na king fish alivyo mtamu sipati picha, ama kweli kila kazi inaubunifu wake. Kwahiyo muda si mrefu wateja(maana huku hawaitwi wagonjwa) wataanza kuambiwa walete mchele, maharage, nyanya, vitunguu na hata matunda ikiwa kama sehemu ya tiba eeeh MoCo?🤣🤣🤣tunaagizaga samaki,.lakini awe "king fish" tuu
Ndiiioooo,.halafu huwa tunawaangalia pia wale wanene wanene wenye afya,tunawaambia walete mbuzi😋😋😋hawa chagonda ni kuku tuu na mchele kilo 3Hahahaa na king fish alivyo mtamu sipati picha, ama kweli kila kazi inaubunifu wake. Kwahiyo muda si mrefu wateja(maana huku hawaitwi wagonjwa) wataanza kuambiwa walete mchele, maharage, nyanya, vitunguu na hata matunda ikiwa kama sehemu ya tiba eeeh MoCo?
Kama mambo yenyewe yako hivyo itabidi niingie kwe fani hiyo aisee, ila naskia kuna ku testiwa!! Hukawii kujikuta asubuhi upo juu ya bati na nguo za kulalia😂😂😂Ndiiioooo,.halafu huwa tunawaangalia pia wale wanene wanene wenye afya,tunawaambia walete mbuzi😋😋😋hawa chagonda ni kuku tuu na mchele kilo 3