Ok, tatizo la feni yako, kama we mwenyewe mtundu ifungue uangalie capacitor je imevimba sehemu yoyote au imepasuka? Kama capacitor iko sawa inawezekana kuna nyaya somewhere imekatika.

Vile vile sio kila tatizo la feni kushindwa kuzunguka linasababishwa na capacitor tatizo jingine linasababishwa na uchafu pamoja na electrical field kuwa dhaifu hii inatokana na kufanya rust kwenye rotating end rod.

Feni yangu imezima ghafla inaunguruma tu haizunguki. Nimejaribu kuifungua ukitoa yale mapanga ikibaki ile chuma tupu ukiwasha haiwaki ila ukii support kwa mkono inazunguka.
Lakini nikifunga mabawa hata nikiisapoti kwa mkono inazunguka kidogo inasimama sijajua nini tatizo
Aina hii ya feni nilinunua 3 ,ufanisi wake na uimara wake ni mkubwa mno ,bei nayo si haba niliipata kwa 120k Kariakoo kwa kila moja sijutii lolote kuhusu model hii