Tatizo la doc kuwa shortcut!

Mzee Dogo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
400
Reaction score
140
Hello friends, naombeni msaada please, pc yangu nahisi imevamiwa na wadudu coz nikiingiza flash tu lazima files za kwenye flash ziwe shortcut, natumia window 8 so kuna window defender na nimejaribu kuupdate na kuscan several times but hakuna mafanikio. Msaada please, nifanyaje!
 
Mdau na mm nilikuwa na tatizo ka ma hlo nikajaribu njia moja hv kuna jamaa alinelekeza iko hv conect your frash or sd card then go start>opt>run then type cdm after hapo tupia hz attrib-h-r-s/s/d f:\*.*note remember to remove f with the letter of ur card shown in your computer(my computer) then ok ikigoma hyo jaribu kubadili aina ya ant virus unayotumia tumia avg if possible
 
me pia natumia window xp kila nikiweka flash inakuja kama shortcut folder zote,,, nimeshaformat flash lakni nikiweka kwenye pc inakuwa hivyo hivyo,,kama kuna software ya kutoa huyo mdudu
 
Mnapotoa suluhisho la tatizo fulani jaribuni kutumia lugha zinazoeleweka
 
Hujaelewa nn lugha gani ambayo hujaelewa af kama hujaelewa si unauliza sio kukaa kulazimisha mtu apost vitu unavyotaka wee.sory for that
 
Nilkua na tatzo kama hilo, natmia window xp, Kaspeskys trial version inasolve hilo tatzo, fanya hivi.
1. uninstall any antivirus kwenye pc yako.
2. Install Kaspesky antivirus permanent or trial.
(kama huna setup yake download kwenye site yao)
3. Update antivirus.
4. Chomeka flash yako alafu fungua kaspesky na fanya full scan..
5. Select reboot after scan. DONE.
 
kuna mdau humu alitwambia tushushe smadav, ilinimalizia tatizo kama hilo
 
Kwenye Microsoft Windows Kuna built-in program inayoitwa CMD ama Command Prompt, Hiyo ukifanya baadhi ya command inakusaidia kuconfigure computer yako kwa njia ambayo kwa kawaida hutaweza kufanya. Fuata maelekezo mkuu Saulloson aliyokupa. Yupo right kabisa!
 
hao notrojani kwenye pc yako fanya hivi!!! tafuta eset smart security 7 install hiyo antivirus scan pc yako na hiyoflash basi tatizo kwisha
 
hao notrojani kwenye pc yako fanya hivi!!! tafuta eset smart security 7 install hiyo antivirus scan pc yako na hiyoflash basi tatizo kwisha

Kaka hiyo kitu nimepata, much thanx but sijafanikiwa kupata activation key zake. Naomba kama unazo zitupie hapa tufaudu kwa pamoja kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…