NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,869
- 5,170
Vyote hivyo nampa na hana minyoomaharage ni kiboko yawe na mchuzi, na zile juisi za azam embe nazo zinatelezesha hatari, pia mcheki minyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole kwa madhila.
Ilithibitishwa na ndio maana discharge report yake inaonyesha hivyo imepita miaka miwili na hatukuambiwa chochote ila kipindi hiki ndio tunashangaa hali hiyo ya kufunga choo mda mrefu.Pole kwa madhila.
Ni kweli kuwa hypothyroidism inaweza kusababisha choo kigumu.
Je ulielezwa chochote juu ya ufuatiliaji wa tiba ya hiyo hypothyroidism au ilikuwa bado haijathibitishwa?
Ilithibitishwa na ndio maana discharge report yake inaonyesha hivyo imepita miaka miwili na hatukuambiwa chochote ila kipindi hiki ndio tunashangaa hali hiyo ya kufunga choo mda mrefu.
Kuna wakati tunamwekea maji ya sabuni kwa bomba la sindano ndio anakwenda choo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana umeongea kweli kabisa mimi nilikuwa kikazi porini muda mrefu.Kama imethibitishwa ni muhimu kufuatilia matibabu yake. Kwani huo msingi wa tatizo husika. Lakini pia hii inaweza kuleta shida kwenye ukuaji na maendeleo ya mtoto kwa ujumla. Hata hilo suala la uzito uliopitiliza, uwezo wa nguvu za mtoto na mapigo ya moyo.
Wakati mwingine huwa tunasau kujadili na wagonjwa kuhusu nini kinamsibu mgonjwa na nini kimefanyika au nini kitahitajika kufanyika zaidi kwajili ya mwendelezo wa tiba za wagonjwa wetu.
Hii inaweza kuwa kwa sababu ya kutokuwa na utaratibu madhubuti au kazi nyingi au kupitiwa.
Huwa inahitaji team approach.
Wahusishe watu wafuatao:
1: Endocrinologist/daktari bingwa wa vichocheo vya mwili
2: Pediatrician/daktari bingwa wa watoto
3: Pediatric surgeon kama atahitajika.