Tatizo la CCM: Utamaduni wa Chama Vs Utamaduni wa Watanzania

Tatizo la CCM: Utamaduni wa Chama Vs Utamaduni wa Watanzania

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,268
Reaction score
13,895
Tatizo la CCM: Utamaduni wa Chama Vs Utamaduni wa Watanzania. Bila kujua utamaduni wa Watanzania unabadilika hasa nyakati hizi badala ya kubadilika nao CCM bado wana fikiri Watanzania ndiyo watafuata utamaduni wao.

Ili kufanikisha hili ni lazima kwanza uwe na watu wa aina mmoja kama China kitu ambacho hatuna. Tusiwe na dini tofauti kama China kitu ambacho hatuna. Tusitegemee nchi nyingine kwa vitu muhimu kama technologia, dawa, na mahitaji muhimu kitu ambacho hatuna. Sisi hatutengenezi chochote cha maana hata dawa karibu zote zinatoka nje.

Tusiwe na mali na makabila tofauti kama China kitu ambacho hatuna sisi tuna makabila mengi. Kusiwe na rushwa au rushwa iwe chini sana kama China kitu ambacho hatuna. Huwezi kufanikiwa kwenye mfumo ambao hatuna vigezo ndiyo maana Mama anaishia na tekateka na uchawa.

Njia bora ni CCM kubadilika na kushindana kama vyama vingine. Huwezi kuendelea kujidanganya wakati watanzania wanabadilika
 
You have a misconception of the Chinese people. Sio kweli kwamba ni watu wa aina moja.

Kama sisi tunavyounganishwa na Kiswahili, Wachina nao wanaunganishwa na Standard Mandarin. Otherwise, kuna dialects nyingi nchini mwao, which often means mutually unintelligible languages!
 
Yaani zaidi 90% Han Chinese kabila Moja zaidi 80% irregion hawa dini china imeendelea kwenye science na technically.hapa ndio tofauti na sisi.nakubaliana waandishi..ila bahati mbaya mfumo ya ubepari na ubeberu is not longer live Dunia mpya iyo utakuwa ni serikali Moja communist state.
 
Back
Top Bottom