Kweli mkuu, huku mtaani kwangu kuna sehemu wadau huwa tunaenda kucheza draft, kuna mzee ni ccm pure influence yake ni zaidi ya huyo aunty ezekiel au msanii yoyote, na cha ajabu ni mlinzi tuu, hana maisha mzuri na kuwashawishi watu anaweza sana, kwanini wasimpe hizo milions?