Tatizo la born marrow tiber closiys

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Waungwana habari za jioni,

Nisameheni kama nimekosea kuandika hicho kichwa cha habari.

Niko na dada angu anatatizo la uti wa mgogo anaumwa sana ingawaje maumivu huja zaidi baazi ya wakati pia inapelekea muda mwengine kukosa hisia kaika mguuu wake wa kulia.

Kuna hospitali walisema tindi za mgogo zimepanguka wakasema pia kuna msuguano katika mshipa wa hisia wa mguuu ila pia kuna wengine wakasea ni TB ya mifupa.

Sasa kuna mtu nimempigia kumuiuliza mimi sijui kama ni daktari najua kua ni mwalimu ila akaniambia kua tatizo hilo linaitwa Born marrow tiber closiys ila madamktari wengi waliokua hawajui kuitafsiri MRI wanaweza kusema ni kensa ya Damu.

Ila akasema kwa hilo tatizo la Born marrow likipata madaktari bingwa linatibika.

Je, nauliza tiba hasa ya Born marrow ni ipi?
 
kama ni TB ya mifupa ni hatari sana tumeondokewa na rafiki yetu kwa tatizo hilo
 
Back
Top Bottom