Tatizo la ajira kikwazo katika kuoa

Tatizo la ajira kikwazo katika kuoa

Asigwa oa bana umri huo unaenda, yaan mpaka sasa hivi ulivyo senior bachelor bado tu hutaki kuoa , sasa unataka ufike level gan za ubachelor
teh teh teh
Kuoa ni upako ambao sikujaliwa kuwa nao.

Labda nifunge sana na kuomba.
 
Kama huna ajira tafuta biashara ya kufanya, ingekuwa watu hawaoi kwasababu hawana ajira mbona ingekuwa shida, unaweza kuwa na ajira na bado ukashindwa kuoa.
 
Muache kuchagua masister duuu w hovyo.
Na nyie kukaa vijiweni mmeoga tu kulalamika vyuma vimekaza muache. Ingieni mtaani pigeni kazi yoyote wanawake wenye akili na upendo wapo tu.
Madam umeongea point sana. Unajua wanaume wengi tunapotea kwenye kuchagua slay queens. Yaan unaona kabisa huyu mwanamke kutwa anashinda saloon, hana kazi, hana elimu, hajishughulishi kwa lolote , kutwa anapiga story na kudanga.

Basi unakuta mkaka kisa kaona ni mzuri , na uzur wenyewe wa saluni basi anaona huyu anafaa. Mambo yakibuma wanashangaa..

Tuwe makin na machaguo yetu, slay queens hawana ishu.
 
Mm kinachonifanya ncioe moja ajira mikataba mara mwz mmoja pamoja na sheria mbovu za selikal jitu unalichukua halina mchongo lipo tu gheto bila kaz unafight unajenga nyumba plus bznec then mkiachana et mnagawana huku yy alikuwa anashinda amelala.
John inaudhi kinyama. Ndio maana sheria yangu mm mali zangu zote ziko under jina langu. Na kabla ya kumuweka ndani lazima nimpe test ngumu sana kuona reaction yake.
Nakuwa nimejizatiti kisheria, siku akizingua anaondoka na begi tu
 
Back
Top Bottom