1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,163
- 14,290
akili zenu mnazijua wenyewe, mioyo yenu vichaka sana,Muache kuchagua masister duuu w hovyo.
Na nyie kukaa vijiweni mmeoga tu kulalamika vyuma vimekaza muache. Ingieni mtaani pigeni kazi yoyote wanawake wenye akili na upendo wapo tu.