ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Vijana wengi wa kiume tumeshindwa kuoa kwa sababu ya kutokuwa na Ajira, huku wadada wakilalamika kutoolewa
Utamweka tu ndani mwanamke bila hata ya kujua kula yako kwa siku itaendaje??kwani ajira ndiyo inaoa au unaoa wewe?
sasa tatizo ni ajira au ni wewe uliyemweka ndani?Utamweka tu ndani mwanamke bila hata ya kujua kula yako kwa siku itaendaje??
Basi Mungu kani rahisishia kazi kama kaanza kukupanga mapema.Alafu wewe...nimeota...unanioa![]()
![]()
fact ya nini sasa?Fact
Tatizo la ajira kikwazo katika kuoafact ya nini sasa?
Ajira ndiyo inaoa?Tatizo la ajira kikwazo katika kuoa
Asigwa oa bana umri huo unaenda, yaan mpaka sasa hivi ulivyo senior bachelor bado tu hutaki kuoa , sasa unataka ufike level gan za ubachelorKuoa mimi mpaka niundiwe tume aisee
Na ikishaundwa, wasipokuwa makini nakata rufaa.
Unaoa wewe ila ajira inakuwezesha kuendesha familia pindi utapokua umeoaAjira ndiyo inaoa?
kwa hiyo usipopata ajira huoi?Unaoa wewe ila ajira inakuwezesha kuendesha familia pindi utapokua umeoa
Hebu nitafutie huyo mwenye akili hata kidogo madam , maana me ninao kutana nao ni matatizo matupu wanataka kuishi maisha ya bongo movie tuuMuache kuchagua masister duuu w hovyo.
Na nyie kukaa vijiweni mmeoga tu kulalamika vyuma vimekaza muache. Ingieni mtaani pigeni kazi yoyote wanawake wenye akili na upendo wapo tu.
nimecheka sanaKuoa mimi mpaka niundiwe tume aisee
Na ikishaundwa, wasipokuwa makini nakata rufaa.
,, mkuu bado unaendelea kupasua mapulizo