Skillzkid_
New Member
- Aug 14, 2022
- 2
- 0
Kutokana na mabadiliko makubwa ya sayansi na Teknolojia kumekuwa na ongezeko kubwa la madhara ya tokanayo na madawa, kemikali na mionzi hatari kwa binadamu.
Maisha yetu ya sasa ni tofauti ya zamani, wengi tumekuwa tukiishi mitindo ya maisha yenye hatari kwa afya zetu kutokana na mabadiliko ya dunia
Dawa, kemikali na mionzi ya vifaa mbali mbali ambayo ni mikali na hatari imekuwa ikiharibu mifumo ya mwili yetu wanadamu na kupelekea tatizo kubwa la afya ya akili. Tuishi kwa tahadhari kwa kulinda afya zetu.