DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
Ninatumia simu ya LG lakini kila nikitaka kuingiza menu mfano ya airtel money inaload kisha inasema MMIE CODE CANCELLED nikitaka kuweka vocha ni mpka nitoe line niweke ktk simu nyingine..MSAADA TAFADHARI