Tatizo kwenye Samsung Galaxy Note2

Tatizo kwenye Samsung Galaxy Note2

richy17

Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
57
Reaction score
4
Heshima kwenu wanaJF!!!....nina Galaxy Note2,asubuhi ya leo nlikuwa nikibrowse profiles za watu mbali mbali kwenye wikipedia kwa kutumia browser ya wikipedia ambapo ghafla simu yangu ilizima ghafla na kuanza kureboot yenyewe...Wakati ikireboot ilistuck kwnye ile part ambapo huandika maneno yafuatayo "SAMSUNG GALAXY NOTEII GT-N7100"....Ikishafika hapo inastuck moja kwa moja hapo na haiendelei tena.nimejaribu kutoa battery na kuchomeka tena but situation ipo hivyo hivyo....Je tatizo litakuwa nini??..msaada tafadhali!!!
 
mi nna solution ya mwisho ambayo ni ku reinstall firmware upya. angalia solution za watu ikishindikana nitaendelea
 
kurenstall firmware ni process kubwa??

si process kubwa ila utahitaji hio odin, usb cable na pc kureinstall.

kabla ya yote hakikisha simu yako ni note 2 kweli kama una boksi au unakumbuka. inatakiwa iwe ni SAMSUNG GALAXY NOTE 2 N7100. kama simu sio basi inaweza haribika kabisa. toa hata betri angalia nyuma iwe ndio n7100.

kuflash firmware manually utafata step hizi.

1. download firmware ya note 2 hapa chini halafu extract mahali utapokumbuka kwenye pc yako.

Rom 4.3 India

2.download odin nayo pia extract mahali utapokumbuka

https://copy.com/zowadQ32bn9T

3. hakikisha kuna driver za simu kwenye pc yako. kama ulishawah kutumia hio simu na pc kama kuhamisha mafile ujue basi zipo.

4. washa simu yako kwenye download mode. kufanya hivyo bonyeza (button ya kupunguza sauti na home button na button ya kuzimia kwa pamoja) halafu bonyeza button ya kuongeza sauti utaona simu ipo kwenye download mode.

5. connect simu na pc

6. fungua odin kama administrator kwa juu utaoma rangi ya njano na neno com na kwa chini kushoto utaona neno added limetokea incase havijatokea achana na step za mbele umeshakosea. ukiona vimetokea ujue upo sahihi.

7. click pda kwenye odin halafu chagua ile firware ulioextract kwenye step ya kwanza itakua inaishiwa na tar.md5

8. hakikisha reset time na auto reboot vimekua ticked (ukiopen software vinakua tayari vina tick hivyo usiguse kitu hakikisha tu)

9. click start utaona simu inareceive hio firmware.

10. itajizima simu na kujiwasha odin itaandika pass na simu itawaka.

hio rom ni zaidi ya 1gb inabidi uwe na internet ya maana kama wajanja night ya voda
 
poa ntajaribu mkuu
 
mkuu kama unaweza nisaidia link ya kudownload firmware 4.1.2 ya note2 nitashukuru sana.
 
Pokea saruti yangu engineer.:hand:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom