Tatizo kwenye profile yangu

Tatizo kwenye profile yangu

Changer11

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
12
Reaction score
6
Tangu awamu ya selection iliyopita profile imeandika Wait for evaluation. Na leo tena imefunguka lakini ipo blank sijui ndio nishakosa Chuo au vipi.Wadau nijuzeni
 
Nenda tcu watakusaidia au tuma mtu aliyepo karibu na tcu, kunbuka deadline ni muda mfupi ujao.
 
Hiyo profile haijaguswa kabisa cha kufanya nenda ofc za nacte.
 
Back
Top Bottom