Tatizo kwenye kuwasha windows 7, naomba msaada

Tatizo kwenye kuwasha windows 7, naomba msaada

Gochavez

Senior Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
171
Reaction score
155
Habarini ndugu zangu,

Mimi nina laptop yangu nimeweka Windows 7 sasa tatizo linakuja kuwa kila nikiiweka Start Windows Normally halafu nika connect na chaji kwa pamoja inakuwa kama ina start hivi baada ya muda inazima kabisa.

Ila nikiiweka kwenye option ya Safe mode wala haizimi sasa nashindwa kuelewa tatizo ni hardware au software katika hii laptop Naomba kuwasilisha kwenu nifanyaje ili isizime!
 
Nashukuru sana ndugu kwa huo msaada wa kuniambia tatizo ni nini
 
Back
Top Bottom