Tatizo kwenye instagram naomba maujuzi

Tatizo kwenye instagram naomba maujuzi

Zikwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
239
Reaction score
131
Wakuu habari za saa hizio..kiukweli kuna katatizo hapa nashindwa hata kuelewa nifanye nni ndio mna nimeona bra nilete humu kidgo mnisaidie hili tatzo...

Ni kwmba nimepost picha instagram hvy na ssa hvi nataka kuifuta na sijui saa nafutaje mna kuna watu nasikia wanauwezo wa kufuta picha hukoooo instagra hvy naomba mwnye ujuzi wa hili swal anisaidie mna natamani kweli kujua n ia zile picha sizitaki tena NB...

kwa swali la aina gani ya picha.. ni za vituko sas nimeamua sas hvi niwe na [picha zangu tuuu na si zile za vituko tuko ndio mna nataka kuzifuta ASANTEN
 
Mh, ngoja vijana wetu waje, usiwe mbali.
 
Tuma hizo picha kwanza tukuelekeze namna ya kufuta
 
Emmanuel chaulaya,

Ingia profile yako ya mapicha,click picha unayotaka kuifuta,utaona vidoti vitatu kulia kwako vilivyo kwenye mfumo wa mstari ulionyooka,utabonyeza na kuona neno "delete".
 
Last edited by a moderator:
mkuu nikibonyeza hivy vidoti vitatu mbna linakuja neno embed
 
Back
Top Bottom