tatizo kwenye hosting

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Nina website najaribu kutengeneza natumia 000webhost.com kama hosting... Nimejaribu free hosting
Tatizo n
Ni kwamba kwenye localhost website ina function vizuri data zinakua passed kwenda kwenye process form zinakua processed na kutumwa kwenye database vizuri ila nilivoiupload ukijaza data... Process form haizipati zile data... Tatizo hapa itakua nini
Nyasiro Kang chief-mkwawa Stefano-mtangoo
 
Last edited by a moderator:
Subiri kwanza nipo Nyasiro mtoto hapa....... kwanza nipe hayo maelezo yako kwa lugha moja puguza hizo technical teminology then punguza idadi ya maelezo

kama huu mstari ndio sijauelewa kabisa kaka

Ni kwamba kwenye localhost website ina function vizuri data zinakua passed kwenda kwenye process form zinakua processed na kutumwa kwenye database vizuri ila nilivoiupload ukijaza data... Process form haizipati zile data

Kunakitu unajaribu kutuma kwenye DataBase?

kama ume Upload Website Yako kwenye server ukiifungua browser inakuletea Error Ipi?


Process Ulizo Zitaja hapo juu zina maneno ya kitaalamu sana kwa hiyo nashindwa kuelewa nini tatizo

Dreson3
 
Umebadilisha connection details such as Localhost,username,password pamoja na database name yenye jina la user (e.g ymollel_databasename) kwenye Mysql_connect? pia kumbuka ku-create user mwenye access ya database hiyo unayoitumia.

 

Ni hivi
Nina form hapa ambayo najaza data, hizo fomu zinapelekwa kwenda kwenye page nyingine kuwa validated afu baadaye kwenda kwenye database....

Tatizo linakuja hivi.. Kabla sijai upload ikiwa bado kwenye localhost kila kitu kinafunction well
Ila nilivoiupload tu kwenye 000webhost.com.. Data haziwi passed kwenda kwenye hiyo process form kuwa validated yaani zinaenda blank na hailet error yoyote.

Natumia php na mysql
 
Umebadilisha connection details such as Localhost,username,password pamoja na database name yenye jina la user (e.g ymollel_databasename) kwenye Mysql_connect? pia kumbuka ku-create user mwenye access ya database hiyo unayoitumia.

Yeah nimefanya cha ajabu ni kwamba registration form na login form zote zinafanya vizuri...
 

data zinakwenda kwenye page kwanza halafu database inachukua kwenye hio page.

mimi si mtaalam sana wa hizi ishu ila ninavyojua free host nyingi hazikubali kufetch data remotely. hapo database ikichukua data kwenye hio page sio remotely?
 

Mh!........ jaribu kukagua Variable zinazo hold data kutoka kwenye form hadi kwenye validation Script pengine kunatofauti ya variable names.
 
Mh!........ jaribu kukagua Variable zinazo hold data kutoka kwenye form hadi kwenye validation Script pengine kunatofauti ya variable names.

Mkuu ingekua zina differ sidhani kama kwenye local host ingekubali
 
Database yako uli-upload vipi??
Wasiwasi wangu ni database yako ya .sql itakuwa haijaingia vizuri au haipo kabisa.
 
1. Unaweza angalia Mpangilio wako wa tables endapo uko sahihi,
2. Angalia kwenye root kama utakuta error file, ukilituka paste lines za mwisho kwenye hilo txt file hapa.
3. Nipe database host name umetumia ipi?
 
chief-mkwawa Donn @Kwetu Ngoreme Msamiati Asanteni Nimefanikiwa kutatua Tatizo...
Tatizo halikuwa kwenye database ila ni zile "mysql real escape string"..

mfano nilikua natumia $username=mysql_real_escape_string($_POST['username']); ambapo baada ya kutoa hiyo mysql real escape string naona ina functions well.

Je ntafanyaje sasa kuzuia mysql injections baada ya kutoa mysql real escape string nimeskia kuna kitu kinaitwa PDO mwenye uelewa nacho naomba anisaidie tafadhari
 
Last edited by a moderator:

Hiyo PDO siifahamu labda nikuelekeze alternative ya mysql_real_escape_string, Unaweza fanya validation za aina mbili
1. Client side 2. Server side

Hiyo client side waweza fanya kwa Html, mfano

<input type="text" name="username" id="username" pattern="[A-Za-z0-9 /]+" required >

Hiyo inarusu user aingize herufi A-Z kwa herufi kubwa na ndogo harafu namba 0 mpaka 9 basi halafu ni lazima(required)
Ila kama ni password hutakiwa kuziweka hizo pattern, weka hiyo required tu.

Server side(PHP) waweza tumia preg_match, mfano
// Validate username

if($username=="") // kama user hajaingiza kitu
{
$_SESSION["username"]= " *Enter your username"; // iimpe hii mesage
$flag=1;
}
elseif (!preg_match("/^[a-zA-Z0-9 \/]+$/", $_POST["username"])) //kama herufi hazija match na za humu
{
$_SESSION["username"]=" *Name must be letter"; // iimpe hii mesage
$flag=1;
}
else $_SESSION["username"]="";

/////////////////////////////////// Nadhani hii itakusaidia kidogo ///////////////////////////////
 

Asante mkuu hizi nilikua nishazifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…