Jana nilitumia computer kwa muda mrefu kidogo ingawa ni kawaida yangu kutumia hivyo..
mara ika zima ghafla, nilipoiwasha ikazima nimeiacha mpaka asubuhi, nimeiwasha tena ikaenda mpaka mwenye window (starting up) ikazima mpaka sasa..
Hakuna beep sounds inapowaka, kwa sasa hata taa zile za kwenye button ya kuwashia zina hazitoi rangi
Na haitoi meseji kwenye screen
Na fan haizunguki
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, tatizo ni nini hasa
Asabteni