Pole sana hiyo version mpya inazingua sana, hapo inakuwa inacheck new update..
Cha kufanya download offline setup version ya chini (mi nimeinstall version 98), kwahiyo chagua 98 mpka 100..
Ukishainstall nenda local disc c then tafuta folder la chrome, ingia utakuta setup ya update , utarename kwa kuongeza namba ili kuzuia updates, ukiacha hivyo hivyo itajiupdate na utarud kwenye tatizo lile.