Frank G
Senior Member
- Jan 1, 2013
- 168
- 40
Wakuu natumia bit torrent kushush mizigo na nimepakua mizigo ya ka gb6 hv ucku mmoja hv nkaselect mingine mipya xaxa nw nashaa tangia nimeiselect haijidownload afu katika sehemu ile ya network status haiweki ok tena inaweka symbol nyekundu i don knw wht the problem is? Please naombeni msaada wnu natnguliza shukrani!