Tatizo jipya kwenye android

Tatizo jipya kwenye android

natumia tecno m3 rooted,nikiwa nimeinstall root unistller nilidisable default launcher nikawa natumia launcher8 pro ikawa inafanya kaz fresh sasa jana niliinstall aviate launcher nikatoa ile launche8 pro nilivyo reboot cm inaishia kweny bootanimation inajirudia rudia haiendelei nimeWIPE napo imegoma inaandika mount error MSAADA WAKUU UJUZ WANG UMEISHIA HAPO

Ulibadilisha vipi default launcher?
Yaani ulienda katika system file ukafuta default launcher?
afu ukaweka yako hiyo au?
au uli install Launcher pembeni afu ukaifanya iwe default launcher?
Naomba majibu
 
yap kuna rom ya m3 nimeiona kwenye site moja ya naigeria ntajaribu wakuu
 
Jaribu hii link ayfamzie.blogspot.nl/2014/03/finally-tecno-geeks-hovatek-custom-this.html?m=1

Hiyo ni try at your own risk.... i don't know kama hiyo m3 ina variants nyingi zenye processors tofauti if yes then unaweza ukaiua kabisa....nafikiri this is one of the challenges ya hizi tecno hakuna a huge community online wanaoshare custom Rom/stock roms...kwa device like hizi Samsung,Sony etal custom Roms zimejaa mpaka unashindwa uweke ipi....night tatizo dogo, ukipata the right rom.

Sometimes cheap is expensive tusikimbilie kudiss hizi big brands like Samsung, iphone, Sony....they became big for a reason
 
but hamna njia nyingne ya ku wipe cm kwa kutumia either pc ili niweze kui uninstall/kufuta root_unstllercoz ndo niliitumia ku-disable ile default launcher,,mwanzoni nilikuwa na launcher 8pro ilikuwa inawasha cm fresh lakini baada ya kuitoa na kuweka aviate tatizo ndo limeanzia hapo sijajua kama labda ni aviate haiwez kuwa default launcher/kuwasha cm au vp
 
Jaribu hii link ayfamzie.blogspot.nl/2014/03/finally-tecno-geeks-hovatek-custom-this.html?m=1

Hiyo ni try at your own risk.... i don't know kama hiyo m3 ina variants nyingi zenye processors tofauti if yes then unaweza ukaiua kabisa....nafikiri this is one of the challenges ya hizi tecno hakuna a huge community online wanaoshare custom Rom/stock roms...kwa device like hizi Samsung,Sony etal custom Roms zimejaa mpaka unashindwa uweke ipi....night tatizo dogo, ukipata the right rom.

Sometimes cheap is expensive tusikimbilie kudiss hizi big brands like Samsung, iphone, Sony....they became big for a reason

thanks mkuu ntakuja na feedback
 
Ulibadilisha vipi default launcher?
Yaani ulienda katika system file ukafuta default launcher?
afu ukaweka yako hiyo au?
au uli install Launcher pembeni afu ukaifanya iwe default launcher?
Naomba majibu

nilitumia application kuidisable bado sijaifuta wakuu ipo
 
Dishunga said:
ile default launcher bado ipo niliidisable kwa kutumia app tu. nilitumia root-uninstller app ina option ya kudisable bila kuifuta

Ila nijuavyo mm Default launcher ni very dangerous kuifuta au kui-disable maana uloweka inaweza corrupt afu hauna backup ndo unaharibu hivo...Mara nyingi tuna install launcher ya pili na tunaifanya default launcher simu iki boot inaboot ikiwa na Launcher yako bila shida...

Mimi imewahi kunitokea nilifuta kabisa default launcher katika Tab ya kichina bahati nzuri ilipokua inawaka ni kwamba Unaweza kubrowse settings(settings hii uzuri wake ilikua pale kwenye notification panel) ila hauwezi launch kitu kingine nilichofanya kule kwenye settings niliingiza Google account afu nika enable internet afu nikaenda kwenye PC nikadownload launcher nyingine maana ile nilokua nimeweka ilikua ina sema ADW Launcher has stopped working hivo Tab ikawa inashindwa kuwaka completely...Lkn nilipo download launcher nyingine kwenye google palystore na ku select hiyo device yangu basi launcher ilikua download huko kwenye Tab na ndo nikaifanya default hapo hapo baada ya kuniprompt na ndo Tab yangu nilivoiponesha hivo

Mechanism behind:
Waweza kudownload app kutoka Play store kwenye pc kuja kwenye simu yako ya android ili mradi tu iwe na connection na google account
 
Mkuu hiyo kitu ipo kweli kwenye tecno?
Nijuavyo mimi hakuna namna ya kuflash ROM kwa simu za Tecno

Buy Tecn at your own risk

Kwa Tecno hamna hiyo kitu but kama ingekuwa ni aina nyjngine ya simu kama vile samsung, htc etc...hiyo method niliyoitaja hapo juu ndio ingetumika ku-fix hilo tatizo.
 
yap mkuu umenipa mwangaza but sijawahi install custom rom na je ni rom ipi nzur kwa m3 .thank

Kwa bahati mbaya mkuu hakuna custom ROM za Tecno, ila kama ungekuwa unatumia sijmu tofauti na ya Tecno kama vile Samsung, HTC, etc... Hiyo method niliyoitaja hapo juu ndio ambayo ingetumika kufix tatizo.
 
sasa mkuu kwenye kuinstall custom rom kuna apps natakiwa niinstall kwanza itzkuwaj hapa wakat cm haiwaki
 
Duh.jaman medtek hz...low cost t cost u much than u earn.team tecno @ work.
Ila mm am ant tecno 4 real.sina msaada kwa kwel.
 
sasa mkuu kwenye kuinstall custom rom kuna apps natakiwa niinstall kwanza itzkuwaj hapa wakat cm haiwaki

Km haiwaki Tumia sp flash tool ambyo itahitaji scatter file kwa hlo n pm ntkupatia na download custom rom yako hlf unzip upate folder 3 ambazo n ambzo n system.img. boot.img na recovery.img. hlf toa betri y simu yko hlf irudishe bila kuiwasha connect usb cable kwny pc hlf zilocate hzo folder 3 kwa kutumia hyo scatter file hlf iuflash n itawaka km kawaida lkn make sure hyo ROM n kwa ajili y simu ykoo
 
Kwa kukusaidia tu simu za mediatek hufanana duniani maana hawatengenezi wanabrand tu. Ina maana simu kama tecno m3 zipo mamia ya simu kwa majina mengine india, pakistan, nchi za kiarabu na hata nchi nyengine za kiafrica

google chip ya simu yako nafkiri ni mt6572 cheki specs online then tafuta simu nyengine zenye specs kama yako halafu tafta rom yake uflash
 
natumia tecno m3 rooted,nikiwa nimeinstall root unistller nilidisable default launcher nikawa natumia launcher8 pro ikawa inafanya kaz fresh sasa jana niliinstall aviate launcher nikatoa ile launche8 pro nilivyo reboot cm inaishia kweny bootanimation inajirudia rudia haiendelei nimeWIPE napo imegoma inaandika mount error MSAADA WAKUU UJUZ WANG UMEISHIA HAPO

hiyo simu inahitaji original stock rom. wapelekee tecno. dakika chache wanakusaidia
 
Back
Top Bottom