Tatizo internet

montomokolo75

New Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Nina samsung galaxy note 3, internet inanisumbua haswa nikiwa ndani.3g au H ni bahati sana kuipata, muda mwingi ni E .Otherwise kila kitu bomba .
 
Unatumia mtandao gani?
Halotel, mbona Infinix ya wife iko poa.Bro samsung tamuuuu! haikwami internal storage kubwa 32gb, ram 3gb, camera mp 13 kwa 8.Feature kibao,shida ni hiyo tu internet. Nikipata solution yake itakuwa poa sana.
 
Umejaribu kuweka chipset nyingine mf.vodacom,tigo au airtel ukaona kama tatizo bado lipo?
 
Nimejaribu laini zoteee, walau hìi ya Halotel afadhali kidogo .
Nimepambana nahil tatizo had nikachoka ilikuwa nikiwa nje network saaf nikiingia ndan akuna ad nkawa nachat mlangoni

Ila saiv nilichokifanya nimechukua simu ya kawaida tecno m3 ndo nimeiweka pale mlango alaf nimefungua hotspot saiv nachat kwa kwabedi na wifi saaf
 
Halotel, mbona Infinix ya wife iko poa.Bro samsung tamuuuu! haikwami internal storage kubwa 32gb, ram 3gb, camera mp 13 kwa 8.Feature kibao,shida ni hiyo tu internet. Nikipata solution yake itakuwa poa sana.
Wabongo sijui nan katuroga yaan we unaulizwa unatumia mtandao gani unaanza kutoa mpaka ukubwa wa kamera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina samsung galaxy note 3, internet inanisumbua haswa nikiwa ndani.3g au H ni bahati sana kuipata, muda mwingi ni E .Otherwise kila kitu bomba .
Hiyo simu nzuri sana tu shida ni setting ulizoweka nenda settings kisha connection ingia mobile network chagua 4G only au 4g,3g,2g au 3G only hasa chagua 3G only au 4G only kwa maelezo yako inaonyesha iko auto hivyo unachagua yenyewe nk:ukichagua 4G only ina kasi sana na bando linakata sana 3G only pia inakasi nzuri tu na bando haliishi kwa kasi inategemea na matumizi yako enjoy[emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…