tatizo hili

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
program zote zinafunguka na adobe reader nifanye nn wana jf?
 
Unatumia OS gani? Nyoosha maelezo ili wataalam wakupe jibu lililonyooka!
 
windows 7 stater
 
Uninstall adobe reader kama unaona noma set other program as the default program then idelete
 
hujaeleweka mkuu.....................ni prog zpi ulikua hutaki zifunguke na adobe reader
 
vlc, mozilla, nero, skype, orbit, avg, avafind, office na nyingine nyingi kila nikifungua inafunguka adobe reader na desktop icon zimechange zimekuwa za adobe reader
 
hilo tatizo ni maarufu sana. ngoja umeme uwake ntakujibu
 
Jina la mtengenezaji wa computer hiyo tafadhali ili nikupe upgrade kwani win7 starter inalimitation.
 
Kama computer yako ina partitions mbili which i hope it has.... copy mafile yako yote muhimu docs..e.tc kwenye iyo partition nyingine....then sasa tafuta

windows 7 ultimate then format partion iliyokuwa na system then weka iyo kitu then usifungue kwanza iyo partion ambayo ulihamishia vitu tafuta antivirus

a strong one I recommend then chonde chonde kumbuka kui update kabisa then sasa scan computer yako nzima.. na amini tatizo hili litakwisha 2 coz i

have a hunch without a doubt ur computer is infected with viruses!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…