JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,383
- 9,835
Yeah kwa mfano kwenye 3 series, kuanzia generation ya E46 kurudi nyuma walikua wanatumia mechanical water pump ila kuanzia E90 wakaanza na electric.
...
Allu anakupa hiπ usivungeYeah kwa mfano kwenye 3 series, kuanzia generation ya E46 kurudi nyuma walikua wanatumia mechanical water pump ila kuanzia E90 wakaanza na electric.
Aisee ni kichomi. Hii kitu utalia na utakonda kilo 100. Na mbaya zaidi haioneshi dalili zozote inazima tu kama Infinix ya kichina.
Pia ukibadirisha pump badirisha na thermostart.
Wakiambiwa wanadai Dunia kijijiπππ nimecheka hapo wana wanapaki pembeni gari ipunge upepo.. noma sanaaa
Umeanzisha vita na Wajerumani weusi...Kuna tatizo moja common kwenye engine za BMW.
Kama ukiomba ushauri kwa mtu ambaye amecome across na hizo gari wengi moja ya sababu ambayo atakupa kama sababu ya wewe kuacha kununua hilo gari ni hiiβ¦
"Achana na hizo gari zinachemsha sana"
Ni kweli kabisa gari za BMW zinachemsha, Ndio maana siyo kitu cha ajabu ukitembea hapa mjini ukakutana na BMW mtu amepaki pembeni ya barabara na akafungua Bonet.
Na kama zingekuwa nyingi hapa mjini kama toyota basi hicho kitu watu wangekiexperience sana.
Kama mimi mtu akiniomba ushauri anataka kununua BMW used nitamshauri kitu kimoja tu abadilishe water pump.
Engine nyingi BMW zinakuja na Water pump za Umeme. Na watu wengi ambao BMW zinawachemshia sababu kwa asilimia nyingi huwa ni hiyo water pump kuchoka.
View attachment 2100108
Around 120,000Km badili water pump. Japo ni gharama lakini utatembelea sana kabla ya kubadili tena.
Siyo kitu cha ajabu hata kutoa milioni kununua hiyo pump.
Huyo uliyem quote mwenyewe ndiye mkuu wa majeshi ya wajerumani weusi,hapo Yuko mitaa NΓΌrnbergUmeanzisha vita na Wajerumani weusi...
Wakikupiga me sipo..[emoji2960][emoji2960]
Lakini of course ukisort hiyo ishu gari inakuwa poa.πππ nimecheka hapo wana wanapaki pembeni gari ipunge upepo.. noma sanaaa
Ila we jamaa bwana kweli umeshindwa mtoa mtoto wa watu jela.Allu anakupa hiπ usivunge
Hahahahahaha lazma wawashe na hazard kusindikiza mapigoπππ nimecheka hapo wana wanapaki pembeni gari ipunge upepo.. noma sanaaa
Raia wa Munich.Umeanzisha vita na Wajerumani weusi...
Wakikupiga me sipo..[emoji2960][emoji2960]
Ndo hivyo mkuu watu wanapaki hizo E60 na kuendelea ila 2JZ haina hayo mambo kabisa...ni mwendo wa kibati tuu...ππππBimmer za zamani zina mechanical kama alivyosema mdau.. Wakaona sio efficient..!
Ila hili sio tatizo.. Inatakiwa mmiliki ufahamu kuwa pump inahitaji replacement baada ya muda fulani.. Sio lazima usubirie signs..kama timing belt/chain..!
Sio Bimmer tuu.. Kila gari pump yake ina umbali kadhaa kabla ya kuchoka..!
Electrical water pump zina faida nyingi kulinganisha na kufeli kwake..
Mechanical pump zinapunguza hp itakayofika kwenye matairi.. Sababu zinakuwa belt driven na engine.. Zinaconsume power ya engine..
Mechanical Pump inaweza isifeli.. Ila belt ikikatika kwisha kazi..! Tofauti na electrical inayotegemea battery..
Mwisho kabisa.. Electrical ipo efficient kwenye cooling ya engine.. Mfano ukiwa kwenye high speed.. Pump itafanya kazi kidogo sababu hewa nyingi inaingia.. Unlike mechanical ambayo ipo connected na mzunguko wa engine.. Itazunguka kwa kasi zaidi wakati hakuna ulazima huo..!
2JZ haibadilishwi water pump..!!?Ndo hivyo mkuu watu wanapaki hizo E60 na kuendelea ila 2JZ haina hayo mambo kabisa...ni mwendo wa kibati tuu...ππππ
Hutaki kufanya maintainance ya gari yako..!!!?Tabu zote hizo za nini ?
Haya magereza ya ufahari yanawatesa sana waTz.
kwahiyo ukinunua used BMW cha kwanza ng'oa hizo weka mpyaa gari haitosumbuaLakini of course ukisort hiyo ishu gari inakuwa poa.