nenda google instal google play services au download aptoid apps zen download google play sevices afu nenda kweny apps manager nenda kwenye play store clear data zima simu run tena

Dah hata hiyo google play services haipo mkuu w pia nimejaribu kudownload kupitia device nyingine lakini inagoma pia kama inavyo onesha hapa kwenye screenshot,,

Unroot simu yako kwa hiyohiyo kingroot baada ya kuunroot ingia website za huawei download official rom za huawei y330 then ukisha download unzip hilo file la rom.. Liingize kwa sd card ya simu yako iwe kuanzia 4gb ingia system update then update from sd card..usihangaike simu yako umeremove google play kutoka ktk rom ni vigumu kuirudisha kwa kuinstal kama app za kawaida kwa mediatek device... By kisauti matelephone.