Tatizo ana tattoo, nimuulize?

Tatizo ana tattoo, nimuulize?

mkuu wengne ndo kama hao,ukimuona unamuona wa maana unampa heshima zote(unaweza hata kumtambulisha kwa watu wako wa karibu)siku mnakutana faragha unakuta ana tattoo kwenye paja au kiunoni,tena jina la mwanamme
Hapana! Hakuchora Jina
 
Ila mi nawashukuru wanawake wote wenye vitu hivyo ulivyotaja kwani wao wenyewe wameshajitambua kuwa wao ni watu wa aina gani. Kwa maana nyingine wanatusaidia sisi tusiotaka watu wa aina hiyo tusije tukajichanganya tukaangukia kwao. Ongezea na wanaovaa vikuku miguuni.
Kama Hii Ya Pajani Unaionaje? Kiukweli Anasifa Zote za Mwanamke, Siioni Kasoro Nyingine Kwake, Ni Hiyo tu
 
Tattoo ni urembo km urembo mwingine kwa mwanamke au mwanaume..... kuelewa hili lazima akili yako iwe exposed

_____________________________________

(Exposure )
 
Back
Top Bottom