Tatizo ana tattoo, nimuulize?

Tatizo ana tattoo, nimuulize?

MTINGIJOLI,

Najua kilichokuumiza kichwa zaidi ni vile ulikua umemuangalia manzi alivyo mzuri ukaona usibebe condom sasa ulipokuta ana tattoo ukawa unashindwa ufanyeje.... utafune mzigo kavukavu au uache? 😂😂😂😂😂
 
Tatoo ni mbaya hata Mungu hapendi. Serikali pia inapinga kuchora tatooo, unaweza kukosa ajira ukionekana na tatoo.

Ili uwe na amani muulize ilikuwaje nawe utatathmini hayo majibu nakuamua la kufanya! Usijilazimishe kuwa nae kwa kuwa mbele ya safari utaendelea kuumia tu moyoni mwako
 
nasikia alikuwa anajiita Mungu.... Sasa navyojua GODDESS ni Mungu wa kike.. Nawewe ndio unajiita ivo

Kwani GODDESS ina maana gani nyingine?
a woman who is greatly admired especially for her beauty.
 
..........sisi wengine bado washamba tunaamini mwanamke akichora tatto ni malaya.
 
muulize ilikuwaje akaichora, usimuhukumu kwa hilo labda kama hana tabia nzuri.
 
mwanamke mwenye tattoo,alonyoa kiduku akaweka blich,alotoboa ulimi/kitovu hawa nkiwaona tu huwa nawashusha heshima na iman nao kwa 60% hata kabla sijazungumza nao,mmoja alinibadilsha ila wengne wote nliokutana nao ni kichwani!
swali gumu, ila mimi sikubaliani na hiyo tattoo yake,
si unajua akili ya wasichana aliona akichora hiyo tattoo Kama akikutana na mwanaume atamuona yupo romantic sana yaani ataongezeka mvuto.
 
Tattoo yake yeye wewe inakukera nini acha kasumba za ajabu bwana iwe kiunoni, kwenye tako au begani hayana maana mambo yasiyo na msingi, mpende akupende muoane
 
mwanamke mwenye tattoo,alonyoa kiduku akaweka blich,alotoboa ulimi/kitovu hawa nkiwaona tu huwa nawashusha heshima na iman nao kwa 60% hata kabla sijazungumza nao,mmoja alinibadilsha ila wengne wote nliokutana nao ni kichwani!

Ila mi nawashukuru wanawake wote wenye vitu hivyo ulivyotaja kwani wao wenyewe wameshajitambua kuwa wao ni watu wa aina gani. Kwa maana nyingine wanatusaidia sisi tusiotaka watu wa aina hiyo tusije tukajichanganya tukaangukia kwao. Ongezea na wanaovaa vikuku miguuni.
 
mkuu wengne ndo kama hao,ukimuona unamuona wa maana unampa heshima zote(unaweza hata kumtambulisha kwa watu wako wa karibu)siku mnakutana faragha unakuta ana tattoo kwenye paja au kiunoni,tena jina la mwanamme
Ila mi nawashukuru wanawake wote wenye vitu hivyo ulivyotaja kwani wao wenyewe wameshajitambua kuwa wao ni watu wa aina gani. Kwa maana nyingine wanatusaidia sisi tusiotaka watu wa aina hiyo tusije tukajichanganya tukaangukia kwao. Ongezea na wanaovaa vikuku miguuni.
 
kicheche uyo, ukichora tattoo hua 'unakua uchi wa mnyama' ,
itafika mda atabadili , ataenda kuchorwa tena akiwa 'uchi'
ulikumbuka ndom ?
 
ulimkuta bikra?...kama hukumkuta nayo amua mwenyewe unampenda au unasuuza rungu tuu.......tatoo ni uremboo tuu.....
 
Kwani tatoo za pajani zina tofauti gani na tatoo za wamakonde???(zile za usoni???)

Huo ni urembo kama urembo mwingine
 
Back
Top Bottom